Mwa. 42:36 SUV

36 Yakobo baba yao akawaambia, Mmeniondolea watoto wangu; Yusufu hayuko, wala Simeoni hayuko, na Benyamini mnataka kumchukua naye; mambo hayo yote yamenipata mimi.

Kusoma sura kamili Mwa. 42

Mtazamo Mwa. 42:36 katika mazingira