Mwa. 42:37 SUV

37 Reubeni akamwambia babaye, akasema, Uwaue wanangu wawili nisipomrudisha kwako; mtie katika mikono yangu, nami nitamrudisha kwako.

Kusoma sura kamili Mwa. 42

Mtazamo Mwa. 42:37 katika mazingira