Mwa. 42:38 SUV

38 Akasema, Mwanangu hatashuka pamoja nanyi, maana nduguye amekufa, naye amesalia peke yake; mabaya yakimpata katika njia mtakayoiendea ndipo mtakaposhusha mvi zangu kwa sikitiko mpaka kaburini.

Kusoma sura kamili Mwa. 42

Mtazamo Mwa. 42:38 katika mazingira