Mwa. 43:34 SUV

34 Wakapelekewa sehemu za chakula kutoka mezani pake, lakini akazidisha sehemu ya Benyamini iwe kubwa mara tano kuliko zao. Wakanywa, wakafanya furaha pamoja naye.

Kusoma sura kamili Mwa. 43

Mtazamo Mwa. 43:34 katika mazingira