Mwa. 44:1 SUV

1 Akamwamuru yule msimamizi wa nyumba yake akisema, Jaza magunia ya watu hawa chakula kwa kadiri wawezavyo kuchukua, utie na fedha ya kila mtu kinywani mwa gunia lake.

Kusoma sura kamili Mwa. 44

Mtazamo Mwa. 44:1 katika mazingira