Mwa. 43:7 SUV

7 Wakasema, Mtu yule alituhoji sana habari zetu na za jamaa yetu, akisema, Baba yenu angali hai? Mnaye ndugu mwingine? Nasi tukamjibu sawasawa na maswali hayo. Je! Tuliweza kujua ya kwamba atasema, Shukeni pamoja na ndugu yenu?

Kusoma sura kamili Mwa. 43

Mtazamo Mwa. 43:7 katika mazingira