Mwa. 43:8 SUV

8 Yuda akamwambia Israeli babaye, Mpeleke kijana pamoja nami, tuondoke, tuende zetu, ili tupate kuishi, wala tusife, sisi na wewe na watoto wetu.

Kusoma sura kamili Mwa. 43

Mtazamo Mwa. 43:8 katika mazingira