Mwa. 45:26 SUV

26 Wakampasha habari, wakisema, Yusufu angali hai; naye ndiye mtawala katika nchi yote ya Misri. Moyo wake ukazimia, kwa sababu hakuwasadiki.

Kusoma sura kamili Mwa. 45

Mtazamo Mwa. 45:26 katika mazingira