27 Wakamwambia maneno yote ya Yusufu, aliyowaambia; na alipoona magari aliyoyapeleka Yusufu, ili kumchukua, roho ya Yakobo baba yao ikafufuka.
Kusoma sura kamili Mwa. 45
Mtazamo Mwa. 45:27 katika mazingira