Mwa. 45:3 SUV

3 Yusufu akawaambia ndugu zake, Mimi ndimi Yusufu; baba yangu angali hai bado? Wala ndugu zake hawakuweza kumjibu, maana waliingiwa na hofu mbele yake.

Kusoma sura kamili Mwa. 45

Mtazamo Mwa. 45:3 katika mazingira