Mwa. 45:4 SUV

4 Yusufu akawaambia ndugu zake, Karibuni kwangu; basi, wakakaribia. Akasema, Mimi ni Yusufu, ndugu yenu, ambaye mliniuza kwenda Misri.

Kusoma sura kamili Mwa. 45

Mtazamo Mwa. 45:4 katika mazingira