Mwa. 46:34 SUV

34 Semeni, Watumwa wako tumekuwa wachunga wanyama tangu ujana wetu, na hata leo, sisi, na baba zetu; mpate kukaa katika nchi ya Gosheni; maana kila mchunga wanyama ni chukizo kwa Wamisri.

Kusoma sura kamili Mwa. 46

Mtazamo Mwa. 46:34 katika mazingira