Mwa. 48:13 SUV

13 Yusufu akawaweka wote wawili, Efraimu katika mkono wake wa kuume, kuelekea mkono wa kushoto wa Israeli; na Manase katika mkono wake wa kushoto, kuelekea mkono wa kuume wa Israeli, akawasogeza karibu naye.

Kusoma sura kamili Mwa. 48

Mtazamo Mwa. 48:13 katika mazingira