20 Akawabariki siku ile akasema, Katika ninyi Waisraeli watabariki, wakisema, Mungu na akufanye kama Efraimu na Manase. Akamweka Efraimu mbele ya Manase.
Kusoma sura kamili Mwa. 48
Mtazamo Mwa. 48:20 katika mazingira