Mwa. 49:6 SUV

6 Nafsi yangu, usiingie katika siri yao,Fahari yangu usiungane na kusanyiko lao,Maana katika ghadhabu yao walimuua mtu,Na kwa ukaidi wao walikata mshipa wa ng’ombe;

Kusoma sura kamili Mwa. 49

Mtazamo Mwa. 49:6 katika mazingira