7 Ghadhabu yao na ilaaniwe, maana ilikuwa kali,Na hasira yao, maana ilikuwa haina huruma.Nitawagawa katika Yakobo,Nitawatawanya katika Israeli.
Kusoma sura kamili Mwa. 49
Mtazamo Mwa. 49:7 katika mazingira