16 Uifanyie safina mwangaza, ukaumalize juu kiasi cha mkono mmoja; ukautie mlango wa safina katika ubavu wake; ukaifanyie dari tatu, ya chini, ya pili, na ya tatu.
Kusoma sura kamili Mwa. 6
Mtazamo Mwa. 6:16 katika mazingira