Mwa. 6:17 SUV

17 Na tazama, nitaleta gharika ya maji juu ya nchi, niharibu kila kitu chenye mwili na pumzi ya uhai, kisiwepo chini ya mbingu; kila kilichoko duniani kitakufa.

Kusoma sura kamili Mwa. 6

Mtazamo Mwa. 6:17 katika mazingira