Mwa. 6:9 SUV

9 Hivi ndivyo vizazi vya Nuhu. Nuhu alikuwa mtu wa haki, mkamilifu katika vizazi vyake; Nuhu alikwenda pamoja na Mungu.

Kusoma sura kamili Mwa. 6

Mtazamo Mwa. 6:9 katika mazingira