Mwa. 9:10 SUV

10 tena na kila kiumbe hai kilichoko pamoja nanyi, ndege, na mnyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu katika nchi pamoja nanyi; wote wanaotoka katika safina, hata kila kilicho hai katika nchi.

Kusoma sura kamili Mwa. 9

Mtazamo Mwa. 9:10 katika mazingira