Mwa. 9:11 SUV

11 Na agano langu nitalithibitisha nanyi; wala kila chenye mwili hakitafutwa tena kwa maji ya gharika; wala hakutakuwa tena gharika, baada ya hayo, kuiharibu nchi.

Kusoma sura kamili Mwa. 9

Mtazamo Mwa. 9:11 katika mazingira