Omb. 1:22 SUV

22 Huo uovu wao woteNa uje mbele zako wewe;Ukawatende wao kama ulivyonitenda mimiKwa dhambi zangu zote;Kwa maana mauguzi yangu ni mengi sana,Na moyo wangu umezimia.

Kusoma sura kamili Omb. 1

Mtazamo Omb. 1:22 katika mazingira