Omb. 1:3 SUV

3 Yuda amehamishwa kwa sababu ya kuonewa,Na kwa sababu ya utumwa mkuu;Anakaa kati ya makafiri,Haoni raha iwayo yote;Wote waliomfuata wamempataKatika dhiki yake.

Kusoma sura kamili Omb. 1

Mtazamo Omb. 1:3 katika mazingira