Omb. 1:2 SUV

2 Hulia sana wakati wa usiku,Na machozi yake yapo mashavuni;Miongoni mwa wote waliompendaHakuna hata mmoja amfarijiye;Rafiki zake wote wamemtenda hila,Wamekuwa adui zake.

Kusoma sura kamili Omb. 1

Mtazamo Omb. 1:2 katika mazingira