12 Wao huwauliza mama zao,Zi wapi nafaka na divai?Hapo wazimiapo kama waliojeruhiwaKatika mitaa ya mji,Hapo walipomiminika nafsi zaoVifuani mwa mama zao.
Kusoma sura kamili Omb. 2
Mtazamo Omb. 2:12 katika mazingira