Omb. 2:11 SUV

11 Macho yangu yamechoka kwa machozi,Mtima wangu umetaabika;Ini langu linamiminwa juu ya nchiKwa uharibifu wa binti ya watu wangu;Kwa sababu watoto wachanga na wanyonyao,Huzimia katika mitaa ya mji.

Kusoma sura kamili Omb. 2

Mtazamo Omb. 2:11 katika mazingira