Omb. 2:10 SUV

10 Wazee wa binti Sayuni huketi chini,Hunyamaza kimya;Wametupa mavumbi juu ya vichwa vyao,Wamejivika viunoni nguo za magunia;Wanawali wa Yerusalemu huinama vichwa vyaoKuielekea nchi.

Kusoma sura kamili Omb. 2

Mtazamo Omb. 2:10 katika mazingira