4 Ameupinda upinde wake kama adui,Amesimama na mkono wake wa kuume kama mtesi;Naye amewaua hao woteWaliopendeza macho;Katika hema ya binti SayuniAmemimina kani yake kama moto.
Kusoma sura kamili Omb. 2
Mtazamo Omb. 2:4 katika mazingira