22 Uovu wako umetimia, Ee binti Sayuni;Hatakuhamisha tena;Atapatiliza uovu wako, Ee binti Edomu;Atazivumbua dhambi zako.
Kusoma sura kamili Omb. 4
Mtazamo Omb. 4:22 katika mazingira