Yer. 1:13 SUV

13 Neno la BWANA likanijia mara ya pili, kusema, Waona nini? Nikasema, Naona sufuria lenye maji yatokotayo, na mdomo wake unaelekea toka upande wa kaskazini.

Kusoma sura kamili Yer. 1

Mtazamo Yer. 1:13 katika mazingira