Yer. 1:16 SUV

16 Nami nitatamka hukumu zangu juu yao kwa habari ya uovu wao wote; kwa kuwa wameniacha mimi, wakaifukizia uvumba miungu mingine, wakaziabudu kazi za mikono yao wenyewe.

Kusoma sura kamili Yer. 1

Mtazamo Yer. 1:16 katika mazingira