Yer. 1:7 SUV

7 Lakini BWANA akaniambia, Usiseme, Mimi ni mtoto; maana utakwenda kwa kila mtu nitakayekutuma kwake, nawe utasema kila neno nitakalokuamuru.

Kusoma sura kamili Yer. 1

Mtazamo Yer. 1:7 katika mazingira