Yer. 1:9 SUV

9 Ndipo BWANA akaunyosha mkono wake, akanigusa kinywa changu; BWANA akaniambia, Tazama, nimetia maneno yangu kinywani mwako;

Kusoma sura kamili Yer. 1

Mtazamo Yer. 1:9 katika mazingira