Yer. 10:23 SUV

23 Ee BWANA, najua ya kuwa njia ya mwanadamu haimo katika nafsi yake; kuelekeza hatua zake si katika uwezo wa mwanadamu.

Kusoma sura kamili Yer. 10

Mtazamo Yer. 10:23 katika mazingira