Yer. 10:5 SUV

5 Mfano wao ni mfano wa mtende, kazi ya cherehani, hawasemi; hawana budi kuchukuliwa, kwa sababu hawawezi kwenda. Usiwaogope; kwa maana hawawezi kutenda uovu, wala hawana uwezo wa kutenda mema.

Kusoma sura kamili Yer. 10

Mtazamo Yer. 10:5 katika mazingira