Yer. 11:11 SUV

11 Basi, BWANA asema hivi, Tazama, nitaleta mabaya juu yao, ambayo hawataweza kuyakimbia; nao watanililia, walakini sitawasikiliza.

Kusoma sura kamili Yer. 11

Mtazamo Yer. 11:11 katika mazingira