Yer. 12:1 SUV

1 Wewe u mwenye haki, Ee BWANA, nitetapo nawe, lakini nitasema nawe katika habari ya haki. Mbona njia ya wabaya inasitawi? Mbona wote watendao hila wanakaa salama?

Kusoma sura kamili Yer. 12

Mtazamo Yer. 12:1 katika mazingira