Yer. 12:10 SUV

10 Wachungaji wengi wameliharibu shamba langu la mizabibu, wamelikanyaga fungu langu chini ya miguu yao, wamefanya fungu langu zuri kuwa jangwa la ukiwa.

Kusoma sura kamili Yer. 12

Mtazamo Yer. 12:10 katika mazingira