12 Watekao nyara wamepanda juu ya vilele vya milima katika nyika; kwa maana upanga wa BWANA utakula toka upande mmoja wa nchi hata upande wa pili wa nchi; hapana mwenye mwili atakayekuwa na amani.
Kusoma sura kamili Yer. 12
Mtazamo Yer. 12:12 katika mazingira