Yer. 12:3 SUV

3 Lakini wewe, BWANA, wanijua; umeniona, umeujaribu moyo wangu, jinsi unavyokuelekea; uwakokote kama kondoo waendao kuchinjwa, ukawaweke tayari kwa siku ya kuchinjwa.

Kusoma sura kamili Yer. 12

Mtazamo Yer. 12:3 katika mazingira