Yer. 12:6 SUV

6 Kwa maana hata ndugu zako, na nyumba ya baba yako, wamekutenda mambo ya hila; naam, wamepiga kelele nyuma yako; usiwasadiki, wajapokuambia maneno mazuri.

Kusoma sura kamili Yer. 12

Mtazamo Yer. 12:6 katika mazingira