Yer. 13:13 SUV

13 Ndipo utakapowaambia, BWANA asema hivi, Tazama, nitawajaza ulevi wenyeji wote wa nchi hii, hata wafalme wanaoketi katika kiti cha enzi cha Daudi, na makuhani, na manabii, na wenyeji wote wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yer. 13

Mtazamo Yer. 13:13 katika mazingira