Yer. 13:20 SUV

20 Inua macho yako, Ee Yerusalemu, ukawatazame hawa wanaokuja kutoka kaskazini; liko wapi kundi lako ulilopewa, kundi lile zuri?

Kusoma sura kamili Yer. 13

Mtazamo Yer. 13:20 katika mazingira