Yer. 13:22 SUV

22 Nawe ukisema moyoni mwako, Mbona mambo haya yamenipata mimi? Ni kwa sababu ya wingi wa uovu wako, marinda yako yamefunuliwa, na visigino vya miguu yako vimeumia.

Kusoma sura kamili Yer. 13

Mtazamo Yer. 13:22 katika mazingira