Yer. 13:4 SUV

4 Twaa mshipi ule ulioununua, ulio viunoni mwako, kisha ondoka, enenda mpaka mto Frati, ukaufiche huko katika pango la jabali.

Kusoma sura kamili Yer. 13

Mtazamo Yer. 13:4 katika mazingira