6 Hata ikawa, baada ya siku nyingi, BWANA akaniambia, Ondoka, enenda mpaka mto Frati, ukautwae ule mshipi, niliokuamuru kuuficha huko.
Kusoma sura kamili Yer. 13
Mtazamo Yer. 13:6 katika mazingira