Yer. 15:13 SUV

13 Mali yako na hazina zako nitazitoa kuwa nyara, bila kulipwa thamani yake; naam, kwa sababu ya dhambi zako zote, hata katika mipaka yako yote.

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:13 katika mazingira