Yer. 15:16 SUV

16 Maneno yako yalionekana, nami nikayala; na maneno yako yalikuwa ni furaha kwangu, na shangwe ya moyo wangu; maana nimeitwa kwa jina lako, Ee BWANA, Mungu wa majeshi.

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:16 katika mazingira