Yer. 15:18 SUV

18 Mbona maumivu yangu ni ya daima, na jeraha yangu haina dawa, inakataa kuponywa? Je! Yamkini wewe utakuwa kwangu kama kijito kidanganyacho, na kama maji yasiyodumu?

Kusoma sura kamili Yer. 15

Mtazamo Yer. 15:18 katika mazingira