Yer. 16:13 SUV

13 basi, kwa sababu hiyo, nitawatoeni katika nchi hii, na kuwaingiza katika nchi ambayo hamkuijua, wala ninyi wala baba zenu; na huko mtawatumikia miungu mingine mchana na usiku; kwa maana mimi sitawapa fadhili zangu hata kidogo.

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:13 katika mazingira